caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Maryam, Aya 34

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 44 · 19:34

ذَٰلِكَ عِيسَى ٱبْنُ مَرْيَمَ قَوْلَ ٱلْحَقِّ ٱلَّذِى فِيهِ يَمْتَرُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHuyo ndiye Isa mwana wa Maryamu. Ndiyo kauli ya haki ambayo wanaifanyia shaka.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHuyo ndiye Isa mwana wa Maryamu. Ndiyo kauli ya haki ambayo wanaifanyia shaka.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70