caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Maryam, Aya 25

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 44 · 19:25

وَهُزِّىٓ إِلَيْكِ بِجِذْعِ ٱلنَّخْلَةِ تُسَٰقِطْ عَلَيْكِ رُطَبًا جَنِيًّا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa litikise kwako hilo shina la mtende, utakuangushia tende nzuri zilizo mbivu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa litikise kwako hilo shina la mtende, utakuangushia tende nzuri zilizo mbivu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70