caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Kahf, Aya 4

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 69 · 18:4

وَيُنذِرَ ٱلَّذِينَ قَالُوا۟ ٱتَّخَذَ ٱللَّهُ وَلَدًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa kiwaonye wasemao, "Mwenyezi Mungu alijifanyia mwana."
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa kiwaonye wanao nena: Mwenyezi Mungu ana mwana.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70