caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Kahf, Aya 11

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 69 · 18:11

فَضَرَبْنَا عَلَىٰٓ ءَاذَانِهِمْ فِى ٱلْكَهْفِ سِنِينَ عَدَدًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi tukayaziba masikio yao kuwalaza humo pangoni kwa muda wa miaka kadhaa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniTukayaziba masikio yao kuwalaza humo pangoni kwa muda wa miaka kadhaa wa kadhaa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70