ٱلَّذِينَ كَانَتْ أَعْيُنُهُمْ فِى غِطَآءٍ عَن ذِكْرِى وَكَانُوا۟ لَا يَسْتَطِيعُونَ سَمْعًا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterWale ambao macho yao yalikuwa paziani hawanikumbuki, na wakawa hawawezi kusikia.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWale ambao kwamba macho yao yalikuwa paziani hayanikumbuki, na wakawa hawawezi kusikia.