caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Israa, Aya 81

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 50 · 17:81

وَقُلْ جَآءَ ٱلْحَقُّ وَزَهَقَ ٱلْبَٰطِلُ إِنَّ ٱلْبَٰطِلَ كَانَ زَهُوقًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa sema, "Haki imefika, na batili imetoweka. Hakika batili lazima itoweke!"
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa sema: Kweli imefika, na uwongo umetoweka. Hakika uwongo lazima utoweke!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70