caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Israa, Aya 49

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 50 · 17:49

وَقَالُوٓا۟ أَءِذَا كُنَّا عِظَٰمًا وَرُفَٰتًا أَءِنَّا لَمَبْعُوثُونَ خَلْقًا جَدِيدًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa walisema: Je! Tutakapokuwa mifupa na mapande yaliyovurugika, tutafufuliwa kwa umbo jipya?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa walisema: Je! Tutapo kuwa mifupa na mapande yaliyo vurugika, tutafufuliwa kwa umbo jipya?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70