caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Israa, Aya 48

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 50 · 17:48

ٱنظُرْ كَيْفَ ضَرَبُوا۟ لَكَ ٱلْأَمْثَالَ فَضَلُّوا۟ فَلَا يَسْتَطِيعُونَ سَبِيلًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterTazama jinsi walivyokupigia mifano. Basi wakapotea. Kwa hivyo hawawezi kuipata njia.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniTazama vipi wanavyo kupigia mifano. Basi wamepotea. Kwa hivyo hawawezi kuipata njia.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70