caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Israa, Aya 43

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 50 · 17:43

سُبْحَٰنَهُۥ وَتَعَٰلَىٰ عَمَّا يَقُولُونَ عُلُوًّا كَبِيرًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterSubhanahu Wa Taa'la, (Ametakasika na Ametukuka mbali) kabisa na hayo wanayoyasema.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniSubhanahu Wa Taa'la, Ametakasika na Ametukuka juu kabisa na hayo wanayo yasema.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70