caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Israa, Aya 3

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 50 · 17:3

ذُرِّيَّةَ مَنْ حَمَلْنَا مَعَ نُوحٍ إِنَّهُۥ كَانَ عَبْدًا شَكُورًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterKizazi cha wale tuliowabeba pamoja na Nuhu. Hakika yeye alikuwa mja wa kushukuru sana.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniEnyi kizazi tuliyo wachukua pamoja na Nuhu! Hakika yeye alikuwa mja mwenye shukrani.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70