caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Israa, Aya 14

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 50 · 17:14

ٱقْرَأْ كِتَٰبَكَ كَفَىٰ بِنَفْسِكَ ٱلْيَوْمَ عَلَيْكَ حَسِيبًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAtaambiwa: Soma kitabu chako! Nafsi yako inakutosha leo kukuhesabu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAtaambiwa: Soma kitabu chako! Nafsi yako inakutosha leo kukuhisabu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70