وَيَخِرُّونَ لِلْأَذْقَانِ يَبْكُونَ وَيَزِيدُهُمْ خُشُوعًا
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa huanguka kifudifudi na huku wanalia, na inawazidisha unyenyekevu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa huanguka kifudifudi na huku wanalia, na inawazidisha unyenyekevu.