caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Nahl, Aya 50

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 70 · 16:50

يَخَافُونَ رَبَّهُم مِّن فَوْقِهِمْ وَيَفْعَلُونَ مَا يُؤْمَرُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterVinamhofu Mola wao Mlezi aliye juu yao, na vinafanya vinavyoamrishwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniVinamkhofu Mola wao Mlezi aliye juu yao, na vinafanya vinavyoamrishwa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70