caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Nahl, Aya 40

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 70 · 16:40

إِنَّمَا قَوْلُنَا لِشَىْءٍ إِذَآ أَرَدْنَٰهُ أَن نَّقُولَ لَهُۥ كُن فَيَكُونُ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika, kauli yetu kwa kitu tunapokitaka kiwe, ni kukiambia tu: "Kuwa!" Basi kinakuwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniKauli yetu kwa kitu tunacho kitaka kiwe, ni kukiambia: Kuwa!Basi kinakuwa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70