caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Nahl, Aya 19

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 70 · 16:19

وَٱللَّهُ يَعْلَمُ مَا تُسِرُّونَ وَمَا تُعْلِنُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa Mwenyezi Mungu anayajua mnayoyaficha na mnayoyaweka hadharani.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa Mwenyezi Mungu anayajua mnayo yaficha na mnayo yatangaza.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70