caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Nahl, Aya 17

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 70 · 16:17

أَفَمَن يَخْلُقُ كَمَن لَّا يَخْلُقُ أَفَلَا تَذَكَّرُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAti yule anayeumba ni kama asiyeumba? Basi hebu hamkumbuki?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAti anaye umba ni kama asiye umba? Basi hebu, hamkumbuki?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70