caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Nahl, Aya 122

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 70 · 16:122

وَءَاتَيْنَٰهُ فِى ٱلدُّنْيَا حَسَنَةً وَإِنَّهُۥ فِى ٱلْـَٔاخِرَةِ لَمِنَ ٱلصَّٰلِحِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa tukampa mazuri katika dunia, naye hakika Akhera atakuwa miongoni mwa walio wema.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa tukampa wema duniani, na hakika Akhera atakuwa miongoni mwa watu wema.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70