caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura An-Nahl, Aya 121

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 70 · 16:121

شَاكِرًا لِّأَنْعُمِهِ ٱجْتَبَىٰهُ وَهَدَىٰهُ إِلَىٰ صِرَٰطٍ مُّسْتَقِيمٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterMwenye kuzishukuru neema zake. Yeye alimteua, na akamwongoa kwenye njia iliyonyooka.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniMwenye kuzishukuru neema zake, Mwenyezi Mungu. Yeye kamteuwa,na akamwongoa kwenye Njia Iliyo Nyooka.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70