caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hijr, Aya 94

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 54 · 15:94

فَٱصْدَعْ بِمَا تُؤْمَرُ وَأَعْرِضْ عَنِ ٱلْمُشْرِكِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterBasi wewe yadhihirishe yale uliyoamrishwa, na jitenge mbali na washirikina.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniBasi wewe yatangaze uliyo amrishwa, na jitenge na washirikina.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70