caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hijr, Aya 81

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 54 · 15:81

وَءَاتَيْنَٰهُمْ ءَايَٰتِنَا فَكَانُوا۟ عَنْهَا مُعْرِضِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa tuliwaletea ishara zetu, nao wakawa wanazipa migongo.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa tuliwapa ishara zetu, nao wakazipuuza.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70