قَالُوا۟ بَلْ جِئْنَٰكَ بِمَا كَانُوا۟ فِيهِ يَمْتَرُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterWakasema: Bali sisi tumekuletea yale waliyokuwa wakiyafanyia shaka.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWakasema: Bali sisi tumekuletea yale waliyo kuwa wakiyafanyia shaka.