caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hijr, Aya 64

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 54 · 15:64

وَأَتَيْنَٰكَ بِٱلْحَقِّ وَإِنَّا لَصَٰدِقُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa tumekujia kwa Haki, na hakika sisi ni wakweli.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa tumefika kwako kwa Haki, na hakika sisi tunasema kweli.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70