caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hijr, Aya 36

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 54 · 15:36

قَالَ رَبِّ فَأَنظِرْنِىٓ إِلَىٰ يَوْمِ يُبْعَثُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAkasema (Iblisi): Mola wangu Mlezi! Nipe muhula mpaka siku watakapofufuliwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAkasema (Iblisi): Mola wangu Mlezi! Nipe muhula mpaka siku watapofufuliwa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70