caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hijr, Aya 31

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 54 · 15:31

إِلَّآ إِبْلِيسَ أَبَىٰٓ أَن يَكُونَ مَعَ ٱلسَّٰجِدِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterIsipokuwa Iblisi. Yeye alikataa kuwa pamoja na waliosujudu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniIsipo kuwa Iblisi. Yeye alikataa kuwa pamoja na walio sujudu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70