وَلَقَدْ عَلِمْنَا ٱلْمُسْتَقْدِمِينَ مِنكُمْ وَلَقَدْ عَلِمْنَا ٱلْمُسْتَـْٔخِرِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa hakika tunawajua waliotangulia katika nyinyi, na tunawajua waliobaki nyuma.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa tunawajua walio tangulia katika nyinyi, na tunawajua waliotaakhari.