caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Hijr, Aya 23

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 54 · 15:23

وَإِنَّا لَنَحْنُ نُحْىِۦ وَنُمِيتُ وَنَحْنُ ٱلْوَٰرِثُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa hakika Sisi ndio tunaohuisha na tunaofisha. Na Sisi ndio Warithi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa Sisi ndio tunao huisha na tunao fisha. Na Sisi ndio Warithi.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70