caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ar-Ra'd, Aya 29

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 96 · 13:29

ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ وَعَمِلُوا۟ ٱلصَّٰلِحَٰتِ طُوبَىٰ لَهُمْ وَحُسْنُ مَـَٔابٍ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWale walioamini na wakatenda mema watakuwa na raha na marejeo mazuri.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWale walio amini na wakatenda mema watakuwa na raha na marejeo mazuri.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70