caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Ar-Ra'd, Aya 12

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 96 · 13:12

هُوَ ٱلَّذِى يُرِيكُمُ ٱلْبَرْقَ خَوْفًا وَطَمَعًا وَيُنشِئُ ٱلسَّحَابَ ٱلثِّقَالَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterYeye ndiye anayewaonyesha umeme kwa hofu na matumaini, na huyaanzisha mawingu mazito.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniYeye ndiye anaye kuonyesheni umeme kwa khofu na tamaa, na huyaleta mawingu mazito.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70