caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yusuf, Aya 60

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 53 · 12:60

فَإِن لَّمْ تَأْتُونِى بِهِۦ فَلَا كَيْلَ لَكُمْ عِندِى وَلَا تَقْرَبُونِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa msiponijia naye, basi hamtapata kipimo chochote kwangu, wala msinikaribie.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa msipo niletea basi hampati kipimo chochote kwangu, wala msinikurubie.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70