caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yusuf, Aya 61

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 53 · 12:61

قَالُوا۟ سَنُرَٰوِدُ عَنْهُ أَبَاهُ وَإِنَّا لَفَٰعِلُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWakasema: Sisi tutamrai baba yake amwachilie, na bila ya shaka tutafanya hilo.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWakasema: Sisi tutamrairai baba yake; na bila ya shaka tutafanya hayo.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70