caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yusuf, Aya 2

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 53 · 12:2

إِنَّآ أَنزَلْنَٰهُ قُرْءَٰنًا عَرَبِيًّا لَّعَلَّكُمْ تَعْقِلُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika Sisi tumeiteremsha Qur-ani kwa Kiarabu ili mpate kuzingatia.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika Sisi tumeiteremsha Qur'ani kwa Kiarabu ili mpate kuzingatia.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70