caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yusuf, Aya 1

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 53 · 12:1

بِسْمِ ٱللَّهِ ٱلرَّحْمَٰنِ ٱلرَّحِيمِ الٓر تِلْكَ ءَايَٰتُ ٱلْكِتَٰبِ ٱلْمُبِينِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterAlif Laam Raa.[1] Hizi ni Aya za Kitabu kinachobainisha.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAlif Lam Raa. Hizi ni Aya za Kitabu kinacho bainisha.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70