وَمَآ أَكْثَرُ ٱلنَّاسِ وَلَوْ حَرَصْتَ بِمُؤْمِنِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa wengi wa watu si wenye kuamini hata ukijitahidi vipi.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa wengi wa watu si wenye kuamini hata ukijitahidi.