caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yunus, Aya 91

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 51 · 10:91

ءَآلْـَٰٔنَ وَقَدْ عَصَيْتَ قَبْلُ وَكُنتَ مِنَ ٱلْمُفْسِدِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterJe, sasa? Na ilhali uliasi kabla yake na ukawa miongoni mwa waharibifu?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniAla! Sasa? Na hali uliasi kabla yake na ukawa miongoni mwa mafisadi!
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70