caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yunus, Aya 69

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 51 · 10:69

قُلْ إِنَّ ٱلَّذِينَ يَفْتَرُونَ عَلَى ٱللَّهِ ٱلْكَذِبَ لَا يُفْلِحُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterSema, "Hakika wale wanaomzulia uongo Mwenyezi Mungu hawatafanikiwa."
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniSema: Hao wanao mzulia uwongo Mwenyezi Mungu hawatafanikiwa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70