ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ وَكَانُوا۟ يَتَّقُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterWale walioamini na wakawa wachaji.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHao ni ambao wameamini na wakawa wanamcha Mungu.
ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ وَكَانُوا۟ يَتَّقُونَ