caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Yunus, Aya 56

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 51 · 10:56

هُوَ يُحْىِۦ وَيُمِيتُ وَإِلَيْهِ تُرْجَعُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterYeye ndiye anayehuisha na anayefisha. Na kwake mtarejeshwa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniYeye ndiye anaye fufua na anaye fisha. Na kwake mtarejeshwa
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70