وَأَنْ أَقِمْ وَجْهَكَ لِلدِّينِ حَنِيفًا وَلَا تَكُونَنَّ مِنَ ٱلْمُشْرِكِينَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa kwamba uuelekeze uso wako kwenye Dini ya kweli, kwa unyofu wala kamwe usiwe katika washirikina.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa uelekeze uso wako kwenye Dini ya Kweli, wala usiwe katika washirikina.