caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Bayyina, Aya 7

Madina · mpangilio wa kuteremshwa 100 · 98:7

إِنَّ ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ وَعَمِلُوا۟ ٱلصَّٰلِحَٰتِ أُو۟لَٰٓئِكَ هُمْ خَيْرُ ٱلْبَرِيَّةِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterHakika walioamini na wakatenda mema, hao ndio bora wa viumbe.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHakika walio amini na wakatenda mema, hao ndio bora wa viumbe.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70