وَمَا تَفَرَّقَ ٱلَّذِينَ أُوتُوا۟ ٱلْكِتَٰبَ إِلَّا مِنۢ بَعْدِ مَا جَآءَتْهُمُ ٱلْبَيِّنَةُ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterWala hawakufarikiana waliopewa Kitabu ila baada ya kuwajia hiyo bayana.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWala hawakufarikiana walio pewa Kitabu ila baada ya kuwajia hiyo bayana.