caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Lail, Aya 19

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 9 · 92:19

وَمَا لِأَحَدٍ عِندَهُۥ مِن نِّعْمَةٍ تُجْزَىٰٓ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa wala si kwa kuwa yupo yeyote aliyemfanyia hisani ndiyo anamlipa.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa wala si kwa kuwa yupo yeyote aliye mfanyia hisani ndio anamlipa.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70