ثُمَّ كَانَ مِنَ ٱلَّذِينَ ءَامَنُوا۟ وَتَوَاصَوْا۟ بِٱلصَّبْرِ وَتَوَاصَوْا۟ بِٱلْمَرْحَمَةِ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterTena awe miongoni mwa walioamini na wakausiana kusubiri na wakausiana kuhurumiana.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniTena awe miongoni mwa walio amini na wakausiana kusubiri na wakausiana kuhurumiana.