caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-A'laa, Aya 7

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 8 · 87:7

إِلَّا مَا شَآءَ ٱللَّهُ إِنَّهُۥ يَعْلَمُ ٱلْجَهْرَ وَمَا يَخْفَىٰ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterIla akipenda Mwenyezi Mungu. Hakika Yeye anayajua yaliyo dhahiri na yaliyofichikana.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniIla akipenda Mwenyezi Mungu. Hakika Yeye anayajua yaliyo dhaahiri na yaliyo fichikana.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70