caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Mutaffifin, Aya 3

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 86 · 83:3

وَإِذَا كَالُوهُمْ أَو وَّزَنُوهُمْ يُخْسِرُونَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa wao wanapowapimia watu kwa kipimo au mizani hupunguza.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa wao wanapo wapimia watu kwa kipimo au mizani hupunguza.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70