caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Infitaar, Aya 6

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 82 · 82:6

يَٰٓأَيُّهَا ٱلْإِنسَٰنُ مَا غَرَّكَ بِرَبِّكَ ٱلْكَرِيمِ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterEwe mwanadamu! Nini kilichokudanganya ukamwacha Mola wako Mlezi Mtukufu?
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniEwe mwanaadamu! Nini kilicho kughuri ukamwacha Mola wako Mlezi Mtukufu?
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70