لِيُحِقَّ ٱلْحَقَّ وَيُبْطِلَ ٱلْبَٰطِلَ وَلَوْ كَرِهَ ٱلْمُجْرِمُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterIli aihakikishe haki na aibatilishe batili hata kama watachukia wahalifu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniIli ahakikishe Haki na auvunje upotovu na wangachukia wakosefu.