ٱلَّذِينَ يُقِيمُونَ ٱلصَّلَوٰةَ وَمِمَّا رَزَقْنَٰهُمْ يُنفِقُونَ
Swahili Translation - Rowad Translation CenterWale wanaosimamisha Swala, na wanatoa katika vile tunavyowaruzuku.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniHao ambao wanashika Swala na wanatoa katika yale tunayo waruzuku.