caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Muddaththir, Aya 45

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 4 · 74:45

وَكُنَّا نَخُوضُ مَعَ ٱلْخَآئِضِينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa tulikuwa tukizama pamoja na waliozama katika maovu.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa tulikuwa tukizama pamoja na walio zama katika maovu.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70