caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Al-Muddaththir, Aya 43

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 4 · 74:43

قَالُوا۟ لَمْ نَكُ مِنَ ٱلْمُصَلِّينَ

Swahili Translation - Rowad Translation CenterWaseme: Hatukuwa miongoni mwa waliokuwa wakisali.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniWaseme: Hatukuwa miongoni walio kuwa wakiswali.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70