caseriqUtafutaji wa maana katika Qur'ani

Sura Nooh, Aya 24

Makka · mpangilio wa kuteremshwa 71 · 71:24

وَقَدْ أَضَلُّوا۟ كَثِيرًا وَلَا تَزِدِ ٱلظَّٰلِمِينَ إِلَّا ضَلَٰلًا

Swahili Translation - Rowad Translation CenterNa hao walikwisha wapoteza wengi, wala usiwazidishie waliodhulumu ila kupotea.
Swahili Translation - Ali Mohsin Al-BarwaniNa hao walikwisha wapoteza wengi, wala usiwazidishie walio dhulumu ila kupotea.
Unatafuta mada? Jaribu utafutaji wa maana — swali lako hutafutwa katika aya zote 6,236.
Lugha — 70